Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kuondoka mpenzi hukunitazama, hutaki Awena, basi kama nna kosa kwako nililofanya nieleze awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeh, tulopanga zamani ina maana si chochote
Utamu wa mapenzi niujuao mi nawe, kipenzi changu awena
utamu wa mapenzi niujuao mi nawe rudisha moyo awenaa
Iweje penzi langu kwako umelikatisha iwejee
Iweje penzi langu kwako umelikatisha ina maana tunda langu basi utamu umekwisha babyyyyy
Labda ungesema mapema kuwa penz langu hulihitajia awenaa, kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitajia awena,
Utamu wa mapenzi niujuao mi nawee kipenzi changu awena, utamu wa mapenzi niujuao mi nawe rudisha moyo awenaa