mimi nataka ushirika na weee ewe roho mimi nataka ushirika na weee roho ×6
nimekubali habari izi yakuwa ww ni Mungu roho roho nataka ushirika na weee
ulikuwepo tokea mwanzo ulishiriki kuniumba roho roho nataka ushirika na weee
nakuhitaji maishani uniifadhi moyo wangu roho eeh roho wee nataka ushirika na wee
wayachukua maombi yetu watuom
ukiwa nasi twatiwa nguvu twatemda kazi kwa ujasiri
uyatawale maisha yangu sitaogopa ukiwa na mi
wewe Mungu