naja mbele zako mungu wangu
nikiwa nazo he shi maa zoteee
ninakiri yale uyatendayo
haakika wewe ni mwema
haakika wewe ni mwema...
naja mbele zaako muungu wangu
nikiwa nazo he shi ma zoote
ninakirii yale uyatendayo
haakika wewe ni mwema.
wewe ni mwema, haufananishwi
wewe ni mwema, baba.×2
wwe ndiwe baba wa maataifa
unatenda mambo ya ajabu
ninakiri yale uyatendayo
haakika wewe ni mwema...×2
wewe ni mwema haufanunshwi
wewe ni mwema baba...×4
naja mbele zako muungu wangu
nikiwa nazo heshima zote
ninakiri yale uyatendayo
haakika weee ni mwema