Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
Nakumbe Nimepatikana na Mambo ya Ajabu
Nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka
Siwema kaka, ah ah ah
Unajitapa mbele ya rafiki zako
kwamba mimi sina la kusema mbele yako
Umeniweka kwenye kiganja mama
unalo taka ndilo ninalofanya sababu wewe
Ni mzuri sana
Siwezi kupata mwengine kama wewe
Siwema kaka, unajidang'anya
Wema wangu ndio ulioniponza
Fadhila zote, kumbe kwako ni bure
Malipo yake, kunifanya mjinga
hayo yote, nimakosa yangu
Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa
Najiepusha nawe mama aaa
Nimezunguka Tanzania bara
Unguja na pemba nimefika
Nimewaona vijana wenye sifa
Wenye kujipamba waka pambika
Nimezunguka Tanzania Bara
Unguja na Pemba Nimefika
Nimewaona Vijana wenye sifa
wenye kujipamba waka pambika
Kwa hiyo Nielewe brother
Sibabaishwi na sura napenda tabia njema (loop)
Sibabaishwi na sura yako
Usifikiri mimi rimbukeni sana
(loop)
Nilikupenda ki mapenzi
(loop)
Ukaniona ni mimi suga mami lako
(loop)
Tabia njema ndio silaha yako
(loop)
Kila mtu atakupenda kaka
(loop)