Nikiwa Na wewe Matatizo Nasahau
Kwa washika Dau Pesa zao Unadharau
Hakuna kama wewe Toka Mwanzo mpaka Now
Niko mimi na wewe Huna Mpango Nao
Mapenzi Unayonipa, Yani Mpaka Najiuliza
Hivi Unaigiza, Maana me Nakufa Kabisa
Napenda nikikushika
Nikiwa Na wewe Matatizo Nasahau
Kwa washika Dau Pesa zao Unadharau
Hakuna kama wewe Toka Mwanzo mpaka Now
Niko mimi na wewe Huna Mpango Nao
Mapenzi Unayonipa, Yani Mpaka Najiuliza
Hivi Unaigiza, Maana me Nakufa Kabisa
Napenda nikikushika