Wako mwana, ukamtuma, duniani
kisa na maana, nipate uzima, jamani Wako mwana, ukamtuma, duniani
kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi
Ishara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Umekua mwema kwangu
Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia
Ilikugharimu, msalabani unifie
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Umekua mwema kwangu, wacha niringe
Umekua mwema kwangu, ooh Yahweh
Ooh Kwangu, ooh umenitendea
Kwangu
Wacha niimbe.
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
Siwezi jizuia...