umenifunza baya na zuri
kipi mi sijasikiaga
ukanipaga na ushauri
uweze kunisaidiaga vile
teteme teteme
utaki kunisikiaga
nipambane niweze
kuku saidiaga mama aeeeeh!
yaliyo nikuta we
HOOk
mwanao nimekuwa