Hakuonekana na binti
hakuwahi kuiasi dini
mfuasi mzuri wa maadili,
lakini alikufa kwa ngoma!
aliwarudisha walopotea, akawapa tuba mbadala
'lakini alikufa kwa ngoma'
adui Mkubwa wa zinaa
'lakini alikufa kwa ngoma'
najaribu kumjengea picha, mshikaji ambaye kalala ndani ya futi sita