neno lako ni taa ya miguu na n mwangaza wa njia zangu kila siku (ninapotembeàaaa na popote ninapokuwa weweee unaniangazia nuru yako×2) ooooh Yesu uuuh
instrumental
ata nikiwaa na huzuni moyoni mwangu ww bwana wangu Yesu uananifariji